Hey everyone all over the globe!! It's Alifazza Ze Blakk Wadada again nikitokea Arachuga1!
Mimi ni msanii wa hip hop, reggae n ragga vibez wa siku nyingi. Nilianza kurekodi ma tracks since 2006 na hadi sasa nimekamilisha album kweree.
Track ambayo imeshatoka hewani ni audio. na sasa naachia kitu kingine audio for promo "Cradle 2 Tha Grave" as attached.
Producutions karibia zote zimefanyika Noizmekah Productions Arusha chini ya mkono wa DX.
Very soon copies of my Album zitakuwa njee for all my fans!
No comments:
Post a Comment