Tuesday, 9 August 2011

Ramadhani Karim

Tuswali na kumuomba mungu kila kukicha ndugu waislam kwani tuko kwenye mwezi mtukufu wa ramadhani jamani huu ni mwezi pekee wa toba kila mja anapaswa kutubu leo ni swaumu ya 9 imeisha kesho ni ya kumi zimebaki 20 tujitahidi ndugu zangu na wale wasio tambua watambue sasa. Ameennna. @deejaydullah via blackberry just now

No comments:

Post a Comment