Wednesday, 12 October 2011
"DULLAH BIRTHDAY @ CLUB 24"......{ hivi ndivyo ilivyokua birthday yangu.... thanx 4all...
hivi ndivyo ilivyo kua siku ya birthday yandu na launch ya mixtape yangu kwa kweli kila mtu alifurahi walio chukia walichikia walio nuna walinuna... ila mungu kaongoza kila kitu kimekwenda kama nilivyo panga uskose ku visit blog yangu kwa nyilikiti za hapa cape town na bongo kila siku asante kwa wote mlio udhuria siku hii asante kwa wadhamini wangu club 24 na wengineo shukrani nyingi kwa marafiki na ndugu wote mlio support hii thanx 4all...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment