Monday, 3 October 2011

MSANII WETU DIAMOND AMEVALISHA PETE YA UCHUMBA WEMA SEPETU!




Artist wa Bongo Flava Naseeb Abdul amefanya 'suprise kubwa ndani ya Maisha Club kwenye Birthday Party kwa kumvalisha pete ya uchumba Wema Abraham Sepetu (Miss TZ-2006)

Kila la Heri hope na tunaimani ndoa itafungwa soon,
kwa hisani ya blog za bongo.

No comments:

Post a Comment