Monday, 10 October 2011

SHOW YA CABO SNOOP @LEADERS CLUB { TANZANIA }




DJ WA CABO SNOOP AKIWA NA DJ CHOKA.


show ilipoanza watu walikataa kutoka hata kama mvua ilikuwa kubwa lakini waliweka viti kichwana na burudani inaendelea kama kawaida duh...

kwa kweli show ilikua nzuri sana na kila mtu alifurahi kwa stori nilizopata.
KWA HISANI YA DJ CHOKA.

No comments:

Post a Comment