Monday, 3 October 2011
CHRIS BROWN AKANUSHA KUWA BABA SOON..!!!
CHRIS BROWN vs KARRUECHE TRAN
Baada ya rumours kuzagaa Chini ya Carpet,hatimaye Artist Chris Brown amekanusha kuwa girlfriend wake 'mtata' Karrueche Tran ni mjauzito
Breezy alitupia kwenye mtandao wa Twitter kukanusha,baada ya website moja ya kimbea kufunguka kuwa girlfriend wa Chris Brown,Karrueche Tran ni mjauzito na wanatarajiwa kupata mtoto wao wa kwanza
...CHRIS NA SHEMEJI...
Website hiyo ya kimbea ilitoa picha ya Karrueche ambayo ilimuonesha demu huyo akionesha kitumbo chake....Na huu ni msala wa pili mfululizo kwa Chris Breezy ku-make headlines baada ya kuanguka kwenye stage alipokua anapiga show pande za Indianapolis,wakati anaimba single yake inayobamba zaidi kwa sasa Beautiful People
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment