Monday, 3 October 2011
DRAKE KAPATA SHAVU KWAO 'CANADA' .....!!!??
AUBREY 'DRAKE' GRAHAM
Aubrey Drake Graham aka Artist Drake toka Toronto-Canada aliye chini ya Young Money Entertainment,amepata shavu la Walk of Fame nchini kwake na kupata tuzo ya Allan Slaight ambayo hupewa mtu aliyefanya mambo mazuri na kuitangaza nchi ya Canada hasa kwenye sanaa,michezo nk na pia kupokea zawadi ya dola 10,000 ambazo Drake naye alizitoa kama msaada kwa Dixon Hall,taasisi inayohusiana na matatizo ya jamii kwa wakazi wa Toronto
....HEADLINES....THE VIDEO CLIP....
Pia Drake ameitoa hadharani video yake ya ngoma ya Headlines,single ya kwanza toka kwenye album yake ya 2 ya Take Care ambayo itakua kitaani siku ya birthday yake,October 24,2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment